Proverbs 4:16-17

16 aKwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu;
wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu.
17 bWanakula mkate wa uovu,
na kunywa mvinyo wa jeuri.
Copyright information for SwhNEN